Unaweza kuwa umenunua kompyuta yak oleo na unatamani kufahamu ni program gani kuwa nayo katika kompyuta yako basi usijali. Nitakufahamisha program kuwa nazo katika kompyuta yako nan i kama zifuatazo:
· Program namba moja ni vlc player
Program
hii itakurahisishia wewe kuweza kucheza filamu,makala,matangazo zilizokuwa
mfumo wa video na ambazo zinaambatana na sauti. Pia katika program hii
itakurahisishia kurekodi baadhi ya video zilizoambatana na sauti na baadae kuweza kwenda
kuhariri na hutumiwa na mamia ya
watu kutokana na kuonesha picha angavu yaani HD na sauti inayosikika vizuri.
·
Program
namba mbili ni office
Program
hii ni muhimu sana kuwa nayo kwani itakusaidia wewe kuandika baadhi ya
makala,script,cv,mithani.
Pia kupitia program hii mara nyingi hutumika shuleni,ofisini,mahakamani, na imeweza kugawanyika katika makundi matatu
·
Word
·
Publisher
·
Excel
·
Nikianza
na word program hii inasaidia kuandika ,kuandaa
jedwali na kuandaa mitihani
·
Publisher
husaidia katika kutengeneza card
mbalimbali,mabango pamoja na logo
·
Excel
husaidia san asana katika kuanda bajeti na kufanya mahesabu mbalimbali.
·
Program
namba tatu ni Browser
Kupitia
program hii itakurahisishia wewe kuweza
kuperuzi mtandaoni na pia
kuhifadhi data muhimu sana kama nakala ,picha ,muziki na vitu vingine vingi.
Browser zipo nyingi sana kama vile google chrome,Firefox,opera mini, safari.
Katika browser zote hapo ni muhimu kuchagua moja ambayo utaipendelea kufanya nayo kazi lakini zote
zinafanya kitu kimoja. Pia huku katika
program hii utaweza kusave password zako zote utakazo ingilia katika website mbalimbali na baadhi ya program
zinazo hifadhi data ndani ya browser ni
kama zile google drive,open drive, na drop box.
MUHIMU:
Browser pendwa na inayotumiwa na wengi kwa sasa ni GOOGLE CHROME.
· Program ya nne ni Antivirus
· Program ni muhimu sana kuwa nayo kwani itakusaidia wewe kuweza kulinda kompyuta yako dhidi ya virus kwa jina la kitaalamu ni malware. Virus hawa hushambulia program zote za kompyuta na hufanya kompyuta yako kuweza kukorupt kwenye window kwa hiyo ni muhimu kuwa na antivirus kama vile smadav,Kaspersky,360 security. Lakini ukiwa na hizi antivirus inatokana na kazi ya kompyuta yako inafanya heavy duties kama vile kila muda upo mtandaoni au unachukua vitu kutoka katika kompyuta nyingine kupitia usb ni muhimu kuwa na antivirus lakini kama wewe unatumia kompyuta kwa matumizi yay a kawaida ainahaja ya kuwa na antivirus unaweza kutumia iliyopo katika kompyuta yako inayoitwa window defender.
SSSOMA PIA:Mabilionea wadogo zaidi duniani mwaka 2025
S
· Programu ya tano ni winrah
Kupitia program hii itakusaidia sana kuweza
kuextract mafaili mbalimbali ambayo umeweza kudownload na yaweshinda kufunguka
kwa hiyo utaitaji program ya winrah ili yafunguke vizuri bila hata kugoma.
HITIMISHO
Program hizi zote ni za muhimu sana na
utapata kupitia website ya get into pc na password ya program baada ya
kudownload ni 123.
Kama umejifunza kitu usisahau kushare na
ndugu jamaa na marafiki. Na andika katika komenti unataka kujifunza nini katika
teknolojia au simu?